msaada iphone 6s haicharge

msaada iphone 6s haicharge

Mabugamtundu

Member
Joined
Jun 3, 2021
Posts
15
Reaction score
8
habari wadau. nina i phone 6s kuna muda inapeleka chaji na kuna wakati haipeleki kabisa yani ni kama inachagua wakati wa kuingiza chaji, ikiwa imezimwa nikiplug chaji inawaka ila ikishawaka tu haipeleki tena chaji inshort ni kwamba chaji ni nzima ila simu haipeleki kabisa... msaada kwa mwenye uelewa juu ya hili
 
1. badilisha charger au chukua ya mwingine ujaribu kama itapeleke charge
note: tumia charger compatible ya iPhone

2. Kama bado jaribu ku update software

3. Kama bado Safisha pale kwenye port ya charger

4. Kama bado tafuta fundi hapo sasa
 
habari wadau. nina i phone 6s kuna muda inapeleka chaji na kuna wakati haipeleki kabisa yani ni kama inachagua wakati wa kuingiza chaji, ikiwa imezimwa nikiplug chaji inawaka ila ikishawaka tu haipeleki tena chaji inshort ni kwamba chaji ni nzima ila simu haipeleki kabisa... msaada kwa mwenye uelewa juu ya hili
Nunua simu nyingine Mkuu, hiyo simu muda wake umekwisha.
 
Io n indication ya betr imechoka
Boost betr tu kuwa makini Na terminals
Usiruhusu simu izme
Tafuta betr nyingne orgnal
 
betri hiko vizuri ni 93% pengine ningejaribu kuupdate ios maana nikizima tu nikiweka charge inawaka lakini bada ya hapo haiingii tena

Jaribu kusafisha port ya chaja kwa kijiti kama cha kuchokolea meno na pamba ya masikioni ukuilowesha kidogo na petroli unasafisha vizuri kabisa

Mimi ilinisaidia hii na iphone 8
 
Badilisha chaji
Chaji za kichina huwa zinasumbua sana
 
solution nimoja tu badili charger port… mimi nikazizangu nicheki 0654606507
 
Back
Top Bottom