Msaada: iPhone 6 plus na Storage Capacity hii

Sangoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
344
Reaction score
165
Wadau habari za majukumu kuuliza si ujinga kunajamaa yangu yuko na iphone 6 plus kinachonishangaza ni intenal storage mi nimekuwa nikijua kwenye six plus kuna Gb 16,64 na 128 hii 32 sijawahi kuonana nayo vipi hii ni kweli ipo na ilikuaje ikaongezwa maana maelezo nimekuwa nikichukuaga gsmarena na hii sijawahi kukutana nayo mwenye kuwa na maelekezo juu ya hii 32gb aitolee ufafanuzi kidigo ilikuaje kuaje mpaka ikawepo 32gb
 
Kwa kweli ATA mm gb 32 sijawai ona jalibu kuichunguza vizuri may be sio original
 
Sangoma hizi simu zipo na usishangae kbs ndugu yangu, I phone as iphone zipo ktk mfumo wa (GB 4 then 8, 16, 32, 64 na 128 GB ) kwa maana kwamba wanazidisha GB mara mbili yake so don't worry about it.
 
hii kitu nahifahamu kinacho nishangaza wenye wametoa 16,64 na 128 gb 32 awakutoa hii imetokea wapi hebu angalia hapa chini
Apple iPhone 6 Plus - Full phone specifications
 
Kwa kweli ATA mm gb 32 sijawai ona jalibu kuichunguza vizuri may be sio original

tatizo cjui kuitambua og na fake kama kunamwenye njia rahisi ya kuitambua apost inanifanya nishangae
 
achana nayo...simu ya rafiki yako inakushughurisha namna hiyo!!!
 
Hapana nachotaka ni kujua kama hii ipo au haipogo kesho na kesho kutwa nikikutana nayo nisiweze kushangaa tena
 
Okay, nimekuelewa kwa upande wa iphone 6 plus hakuna ya 32 GB capacity na kama uko kwenu ipo basi wachina wamechakachua coz watu wengine huwa hawafuatilii specifications za simu.
 
Wadau nna Galaxy S2 nauza laki na sabini nna miezi miwili tangu niinunue
 
Okay, nimekuelewa kwa upande wa iphone 6 plus hakuna ya 32 GB capacity na kama uko kwenu ipo basi wachina wamechakachua coz watu wengine huwa hawafuatilii specifications za simu.

shukrani
 
Back
Top Bottom