Msaada: iPhone 5S haisupport USSD CODE

Kiberenge

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
1,104
Reaction score
1,036
Habari wakuu, nina iphone 5s haisupport code so siwezi kuweka vocha wala kuingia Tigopesa, kama kuna njia yoyote ya kufix hii inshu naomba msaada tafadhali.
 
Elezea Vizury Omary Bonge mzee wa Graphics
 
kama tatizo ni USSD CODES Kijana itakua umeupgrade to iOS7 ambayo ndio ina tatizo hilo sana . ILA KUNA WADAU WATAKUJA NA MAMBO MATAM MZEE MWENZANGU
 
Mkuu hebu jaribu kuweka na simcard za voda na airtel uone matokeo
Sijajua unatumia ios gani kama inahitji update ya ios fanya hivyo
Make sure una apple id ya hiyo iphone kabla huja upgrade iso
 
Mimi moja last week niliamua kuirudisha iliponunuliwa nje Ya tz kwa sababu hiyo hiyo!!nilienda pale istore Mlimani city wakasema haiwezekani kabisa kulitatua tatizo kama hilo lakini simu unapokea na kupiga kama kawaida
 
Daah, poleni wakuu. Vipi mkijaribu downgrade iOS from 7 to 6 maana hyo 7 ndio chanzo cha matatatizo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…