Pengine ina matatizo ya kiufundi zaidiHabari za leo ndugu wana JF poleni na majukumu ya kazi,samahani naomba msaada wenu nimenunua iphone 5c siku 2 za mwanzo ilikua poa kila kitu lakini sasa hvi ina matatizo kama 3 hivi
1.kuna muda hata kama simu siitumii inaleta ile screen ya kuzima simu yaani inakua kama nimebonyeza power button ili niizime wakati sijafanya hivo
2.power button inafanyakazi kwa wenge sana kuna muda inafanya kazi muda mwingine inakataa bila sababu yoyote
3.simu inajiweka lock mara kwa mara hata kama iko inatumika yaani mfano nikiwa naitumia ghafla lock inajiweka na nikibonyeza home button ili kuondoa lock inapiga screen shot zisizo na idadi
Naombeni msaada wenu Ndugu zangu
Habari za leo ndugu wana JF poleni na majukumu ya kazi,samahani naomba msaada wenu nimenunua iphone 5c siku 2 za mwanzo ilikua poa kila kitu lakini sasa hvi ina matatizo kama 3 hivi
1.kuna muda hata kama simu siitumii inaleta ile screen ya kuzima simu yaani inakua kama nimebonyeza power button ili niizime wakati sijafanya hivo
2.power button inafanyakazi kwa wenge sana kuna muda inafanya kazi muda mwingine inakataa bila sababu yoyote
3.simu inajiweka lock mara kwa mara hata kama iko inatumika yaani mfano nikiwa naitumia ghafla lock inajiweka na nikibonyeza home button ili kuondoa lock inapiga screen shot zisizo na idadi
Naombeni msaada wenu Ndugu zangu
asante kwa ushauri wakoNina wasiwasi simu yako hujainunua ikiwa mpya kabisa (second hand). Simu kama ulivyohisi mwenyewe kutokana na maelezo yako hilo ni tatizo katika hardware upande wa power button hivyo panajibonyeza penyewe na kufanya iwe ina ji lock unapoitumia na iki hold ndio unakuja huo ujumbe wa kutaka kuzima..!!
Ushauri irudishe ulipofanyia biashara au km uliiangusha au kuikandamiza na kitu kizito sana ukaua switch ipeleke kwa fundi muelewa.
we unatumia iphone 5 hadi leo!!?
Hio simu itakua ni refurbished na sio mpya ukiweza rudisha ulipo nunua au ipileke kwa fundi .Habari za leo ndugu wana JF poleni na majukumu ya kazi,samahani naomba msaada wenu nimenunua iphone 5c siku 2 za mwanzo ilikua poa kila kitu lakini sasa hvi ina matatizo kama 3 hivi
1.kuna muda hata kama simu siitumii inaleta ile screen ya kuzima simu yaani inakua kama nimebonyeza power button ili niizime wakati sijafanya hivo
2.power button inafanyakazi kwa wenge sana kuna muda inafanya kazi muda mwingine inakataa bila sababu yoyote
3.simu inajiweka lock mara kwa mara hata kama iko inatumika yaani mfano nikiwa naitumia ghafla lock inajiweka na nikibonyeza home button ili kuondoa lock inapiga screen shot zisizo na idadi
Naombeni msaada wenu Ndugu zangu
wewe mwenye free mind umefanya nn cha maana?Slave mind!
wewe mwenye free mind umefanya nn cha maana?
Hiyo simu ina tatizo kwenye powerButton ( imelegea au Ina shortCircuit). Kwasababu karibu dalili zote unazozipata zinatokana na kazi za powerButton.Habari za leo ndugu wana JF poleni na majukumu ya kazi,samahani naomba msaada wenu nimenunua iphone 5c siku 2 za mwanzo ilikua poa kila kitu lakini sasa hvi ina matatizo kama 3 hivi
1.kuna muda hata kama simu siitumii inaleta ile screen ya kuzima simu yaani inakua kama nimebonyeza power button ili niizime wakati sijafanya hivo
2.power button inafanyakazi kwa wenge sana kuna muda inafanya kazi muda mwingine inakataa bila sababu yoyote
3.simu inajiweka lock mara kwa mara hata kama iko inatumika yaani mfano nikiwa naitumia ghafla lock inajiweka na nikibonyeza home button ili kuondoa lock inapiga screen shot zisizo na idadi
Naombeni msaada wenu Ndugu zangu
Asante kwa kunitoa wasiwasi ngoja nikacheki mafundiHiyo simu ina tatizo kwenye powerButton ( imelegea au Ina shortCircuit). Kwasababu karibu dalili zote unazozipata zinatokana na kazi za powerButton.
Ikijibonyeza inaLock screen
IkijiHold inaleta Option ya Kuzima simu
Ikijobonyeza na wewe ukabonyeza homeButton basi inafanya ScreenShot.
Hili tatizo mafundi wanaliweza