Hello,
Hii iphone 5 nikiiwasha inataka niingize apple ID ya mtu mwingine ili ifunguke nimejitahidi lakini haikubali kuna njia yeyote ya kuifungua nijuzen jaman
Siku zote mnaonywa msinunue simu za wizi hamsikii, Nazi kwako lazima utaitupa tu hata ufanyeje haitafunguka labda uirudishe kiwandani.
Ipo njia moja na rahisi, mtafute mwenye nayo halafu muombe password
cha kukushauri hapa labda utoe screen ya juu na chini ukaviuze kwa mafundi simu ili urudishe pesa uliyonunulia vinginevyo baki na kopo lako la maonesho i5 ndani kama historia ya kupenda mteremko.........Hello,
Hii iphone 5 nikiiwasha inataka niingize apple ID ya mtu mwingine ili ifunguke nimejitahidi lakini haikubali
kuna njia yeyote ya kuifungua nijuzen jaman
Try to google icloud unlock utapata ufumbuzi coz wazungu ni watu wajanja sana wanapotengeneza lock basi ujue kuna ufunguo wake hali kadharika virus ina antvirus yake.