Msaada iphone 4s inahitaji apple ID

jamaa yako kakupa boom kwenye Christmas box, mpeleleze vizuri ujue michezo yake. unaeza pata murder case bureee
 
Ukweli ndio huo mkuu tulikuwa kwenye michezo muda wao ulipoisha wakarudi...
 
hizi ndio simu za kutumia aisee maana nimetumia zaidi ya gb16 kuishughurikia hii simu nilichofanikiwa ni kuiupgrade na kuidowngrade lakini sijafanya chochote cha maana dah.
 
kwa hiyo ukaona kumuibia hiyo simu mshkaji wako wa siku nyingi kuwa umepata mwenyewe?!
 
yamekuwa hayo tena
Relax...wewe ndio umeyataka.Mwanzo umesema ni best yako kitambo tu alafu hapo mwishoni ukasema kuwa hata kujuana hamjuani mlikutana tu bahati mbaya na hujui kama mtakuja kukutana tena...hiyo story ni watu wawili tofauti au ni mtu mmoja?!

Mrudishie mwanao simu yake sio poa wala nini
 
apple id inatoka bana msimtishe jamaaa but kwa uelewa mdogo tutabisha najua inatoaka kwa njia tatu nazo zfaham sema kupata izo tools nigharama ku afford lkn mana wanacho lock wao ni imei tu co simu lkn ikishindikana njia ya software ata hadware method ukitumia apple id inatoka vizur bila shida na hata haifiki huko 250usd kwa iphone 4s huwa ni kama usd60 iv 6s plus doina karbia huko mm na uhakia na bsha witnes iphone nying sana zkitolewa iyo icloud mnoisifia ninyi
 
Nenda mliman city nasikia kunafundi ameshawah fanyiwa katka maswala hayo ila sijajua yupo eneo gan with in mliman city
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…