Mkuu hujasomeka vizuri, unamaana simu yako ipo locked kwa mtandao fulani wa nje? na ukiweka sim card zetu za kibongo inakuwaje?Wadau naombe iso inayoruhusu kutumi line zetu kwenye iphone 4 au namna ya kufanya cofiguration ili ikubali kusoma network zetu.