WADAU naomba msaada hata wa ku ni assist niweze itoa hii iphone 4 kutoka recovery mode.
nimejaribu kuiweka katika DFU MODE NIMESHINDWA hata kwa kutumia redsnow,na ukiiwasha inakaa recovery mode kwa sekunde kadhaa na kujizima,
Kuna jamaa wanaweza kukusaidia provided unajua [ Apple ID passwork] iliyotumikwa kwenye hiyo simu mara ya mwisho, wana system za APPLE [administrators ] hivyo wanaweza kufuta kila kitu kwenye simu na ukaanza upya. Wanapatikana hapo mlimani city kwenye duka la istore, waliwahi msaaidia jamaa yangu, charge ni $50 nenda huku ukikosa suluhisho kwa washikaji
USHAURI: kuwa makini sana na apps/software unaweka kwenye APPLE PRODUCTS sometime zina backfire mbaya zaidi nyingine unakuta zimeshaondoa ile fully control ya iTune, niliwahi kuwa na experience hizo lakini toka nimehacha, simu yangu ikizingua ni fasta tu kwenye iTunes case imekwisha
WADAU naomba msaada hata wa ku ni assist niweze itoa hii iphone 4 kutoka recovery mode.
nimejaribu kuiweka katika DFU MODE NIMESHINDWA hata kwa kutumia redsnow,na ukiiwasha inakaa recovery mode kwa sekunde kadhaa na kujizima,
WADAU naomba msaada hata wa ku ni assist niweze itoa hii iphone 4 kutoka recovery mode.
nimejaribu kuiweka katika DFU MODE NIMESHINDWA hata kwa kutumia redsnow,na ukiiwasha inakaa recovery mode kwa sekunde kadhaa na kujizima,
recovery mode unaweza kuingia na kutoka anytime. Sio tatizo hilo, hapo nadhani ulinonyeza power button na home button vibaya either kwa dhumuni la kutaka kuFormat au kuweka kwenye DFU mode. Download Tiny Umbrella au Dr.fone uitoe kwenye recovery mode..
iko jeilbroken? ulikuwa unafanya nini mpaka ikaingia kwenye recovery?
Hebu jaribu kutumia tinyumbrela halafu ulete majibu.
sijui km ilikuwa jailbroken mana kuna "layman" tu kaniletea nimsaidie,plz kam waweza nisidia link niwezeipata tinyumbrella kirahisi itakuwa bora,maana zote nlizo google zinazingua kuninstal kwenye pc
Sio SOUND ni kitu really, hata wewe unaweza kua ADMINISTRACTOR wa apple kama ukijipanda na kutoa huduma za repair/reseller, Provided una wataalamu na mtaji wako, jamaa wako karibu na shopperz nenda watembelee ujionee mwenyewe uliza iStore HQ nimefika pale,ndiyo sound wanazopiga?!!
Sio SOUND ni kitu really, hata wewe unaweza kua ADMINISTRACTOR wa apple kama ukijipanda na kutoa huduma za repair/reseller, Provided una wataalamu na mtaji wako, jamaa wako karibu na shopperz nenda watembelee ujionee mwenyewe uliza iStore HQ nimefika pale,
zinagoma vipi mkuu, unatumia windows au mac? itune iko up to date? hebu jaribu hapa: TinyUmbrella - Download[/
Natumia win 7 na itunes iko updated ngoja nijaribu tena ntarudi kutoa majibu,