Security inafanya simu isiibiwe? Au unadhani ni mtambo wa kupiga kelele simu inapotaka kuibwa? Security yake ni kuwa kama ulikuwa umeweka passcode na findmyIphone iko activated basi mwizi hawezi ku-access data zilimo kwenye simu na pia hataweza kuitumia kama ilivyo. Sana sana itabomolewa na kuuzwa kama spare parts.
Simu ni kifaa tu, kama gari lina alarm na linaibiwa kwanini simu isiibiwe? Tofauti ni kwamba kama ali enable location pamoja na icloud imekuwa locked haitoweza kutumika, labda lakin pia simu yake itamuonyesha ilipo.