Msaada Ipad

Msaada Ipad

MTIRO

Senior Member
Joined
May 5, 2012
Posts
120
Reaction score
17
Wana jamvi;
Naomba mnisaidie nimenunua Ipad Apple sasa kila ninapocreate Apple ID nafanikiwa ila nikilog in kwa kuitumia hiyo ID kwenye inakataa, naomba mnisaidie tatizo ni nn??
 
umeenda kwenye email yako kuconfirm hiyo ID uliyocreate?
 
Back
Top Bottom