Lonja mlizotupia zinazidi kunipa morali tu, yaan mwez wa saba mungu ajalie nimalize kabachelor kangu hapo hapo nipate bogi nitimkie huko kwenye madoso.
Kiwira hapafahi, Magereza Wana chuo kipo mazingira magumu sana Kama 2022 watu waalalamika nimelelewa kotaz za Magereza kwa Kaka ake mshua kapita hapo 1984 anasema miaka hiyo ilikuwa hatari na mikiki mwanzo mwisho!!!