hyassin92 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 582 Reaction score 635 Jan 9, 2022 #1,201 MrGeneous said: Wakubwa nawaaga jamani napotea jamii forum Kwa wale tutakaobahatika kuwepo kwenye mkeka inshaallah tutakutana kambini All the best wadau Click to expand... Fafanua mambo, all the best kuhusu nini.
MrGeneous said: Wakubwa nawaaga jamani napotea jamii forum Kwa wale tutakaobahatika kuwepo kwenye mkeka inshaallah tutakutana kambini All the best wadau Click to expand... Fafanua mambo, all the best kuhusu nini.
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 9, 2022 #1,202 MrGeneous said: Wakubwa nawaaga jamani napotea jamii forum Kwa wale tutakaobahatika kuwepo kwenye mkeka inshaallah tutakutana kambini All the best wadau Click to expand... wewe jamaa nakuombea sana kwa mungu aisee akufanyie wepesi ufike mbali zaidi ukalete mabadiliko kwenye jeshi letu la magereza UPO VIZURII MKUU,I APPRECIATE YOU
MrGeneous said: Wakubwa nawaaga jamani napotea jamii forum Kwa wale tutakaobahatika kuwepo kwenye mkeka inshaallah tutakutana kambini All the best wadau Click to expand... wewe jamaa nakuombea sana kwa mungu aisee akufanyie wepesi ufike mbali zaidi ukalete mabadiliko kwenye jeshi letu la magereza UPO VIZURII MKUU,I APPRECIATE YOU
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 10, 2022 #1,203 Hivi mishahara magereza ipoje wadau kwa anaejua
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 10, 2022 #1,204 MBONA HUU UZI UMEPOA SANA WADAU.?? HAKUNA LONJA WALA CHOCHOTE.,,
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Jan 10, 2022 #1,205 Mgung said: MBONA HUU UZI UMEPOA SANA WADAU.?? HAKUNA LONJA WALA CHOCHOTE.,, Click to expand... Tunazidi kupungua huku mkuu wengi wameeshaenda kozi ,na magereza wakija wanazidi kuwapunguza hadi inafika uhamiaji hakuna watu humu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mgung said: MBONA HUU UZI UMEPOA SANA WADAU.?? HAKUNA LONJA WALA CHOCHOTE.,, Click to expand... Tunazidi kupungua huku mkuu wengi wameeshaenda kozi ,na magereza wakija wanazidi kuwapunguza hadi inafika uhamiaji hakuna watu humu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 10, 2022 #1,206 Kunguru wa Manzese said: Tunazidi kupungua huku mkuu wengi wameeshaenda kozi ,na magereza wakija wanazidi kuwapunguza hadi inafika uhamiaji hakuna watu humu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Sema magereza nao wanafeli sana yan hadi leo kimya duh
Kunguru wa Manzese said: Tunazidi kupungua huku mkuu wengi wameeshaenda kozi ,na magereza wakija wanazidi kuwapunguza hadi inafika uhamiaji hakuna watu humu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Sema magereza nao wanafeli sana yan hadi leo kimya duh
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 10, 2022 #1,207 Oya naskia magereza wametoa mkeka hukoo
chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,540 Reaction score 2,683 Jan 10, 2022 #1,208 Mgung said: Oya naskia magereza wametoa mkeka hukoo Click to expand... Acha uongo
A Abrah GI Member Joined Apr 3, 2020 Posts 98 Reaction score 28 Jan 10, 2022 #1,209 Mgung said: Oya naskia magereza wametoa mkeka hukoo Click to expand... Kama hauna real information ni bora uchil tu mkuu
Mgung said: Oya naskia magereza wametoa mkeka hukoo Click to expand... Kama hauna real information ni bora uchil tu mkuu
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Jan 10, 2022 #1,210 Mgung said: Sema magereza nao wanafeli sana yan hadi leo kimya duh Click to expand... We acha tu aisee . Mi nilifanya usaili wakanikata kisa form six baada ya mwezi wakanipigia simu kuhoji taarifa zangu nikawapa hata sijui walimaanisha nini Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mgung said: Sema magereza nao wanafeli sana yan hadi leo kimya duh Click to expand... We acha tu aisee . Mi nilifanya usaili wakanikata kisa form six baada ya mwezi wakanipigia simu kuhoji taarifa zangu nikawapa hata sijui walimaanisha nini Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Jan 10, 2022 #1,211 chlorine gas said: Acha uongo Click to expand... Jamaa anashtua watu wengine wana presha huku nyuma ya keyboard Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
chlorine gas said: Acha uongo Click to expand... Jamaa anashtua watu wengine wana presha huku nyuma ya keyboard Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 10, 2022 #1,212 Mwamba wa magereza amerelax palee hana habar kabisa duuh
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 10, 2022 #1,213 Tar 10 leo holaaa duuh Ngoja tuone kesho tarehe 11 mkeka unaweza ukatoka mungu akipenda
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 10, 2022 #1,214 Kunguru wa Manzese huu uzi vipi mzee mbona umepwaya hivi sio kama ule wa polisi kipindi kile mkuu Humu shida nini mzee
Kunguru wa Manzese huu uzi vipi mzee mbona umepwaya hivi sio kama ule wa polisi kipindi kile mkuu Humu shida nini mzee
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Jan 11, 2022 #1,215 Mgung said: Kunguru wa Manzese huu uzi vipi mzee mbona umepwaya hivi sio kama ule wa polisi kipindi kile mkuu Humu shida nini mzee Click to expand... Watu wapo kozi tumebak wachache Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mgung said: Kunguru wa Manzese huu uzi vipi mzee mbona umepwaya hivi sio kama ule wa polisi kipindi kile mkuu Humu shida nini mzee Click to expand... Watu wapo kozi tumebak wachache Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 11, 2022 #1,216 Kunguru wa Manzese said: Watu wapo kozi tumebak wachache Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Aisee ni kweli unaona wengine wanatoroka huko
Kunguru wa Manzese said: Watu wapo kozi tumebak wachache Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Aisee ni kweli unaona wengine wanatoroka huko
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 11, 2022 #1,217 Sema Magereza nao wameyumba aisee au wewe unaonaje maana naona kama huu uzi tumebaki sisi tu
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Jan 11, 2022 #1,218 Mgung said: Aisee ni kweli unaona wengine wanatoroka huko View attachment 2076408 Click to expand... Jamaa boya sana Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mgung said: Aisee ni kweli unaona wengine wanatoroka huko View attachment 2076408 Click to expand... Jamaa boya sana Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Jan 11, 2022 #1,219 Mgung said: Sema Magereza nao wameyumba aisee au wewe unaonaje maana naona kama huu uzi tumebaki sisi tu Click to expand... Wanayumba sana ,sijui na hawa uhamiaji watachelewa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mgung said: Sema Magereza nao wameyumba aisee au wewe unaonaje maana naona kama huu uzi tumebaki sisi tu Click to expand... Wanayumba sana ,sijui na hawa uhamiaji watachelewa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
M Mgung Member Joined Jan 9, 2022 Posts 45 Reaction score 25 Jan 11, 2022 #1,220 Kunguru wa Manzese said: Wanayumba sana ,sijui na hawa uhamiaji watachelewa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Uhamiaji wanajitahid kwenda na muda
Kunguru wa Manzese said: Wanayumba sana ,sijui na hawa uhamiaji watachelewa Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Uhamiaji wanajitahid kwenda na muda