Kujiendeleza inategemea kwanza na kituo ulipo na Mkuu wako wa Gereza husika, Kwa Zile taaluma wanazozitaka wao ruhusa haisumbui kabisa hata iwe miaka 5 utapewa tu usome, Wengi nimeona wanasoma kwa ujanja ujanja hasa waliopo vituo vya mijini (Mwanza) Kuna watu mchana anakuwa SAUT/CBE/IFM usiku yupo mzigoni Kama kawa wengine wamepiga OUT kipindi Cha mitihani anaomba ruhusa mmoja wapo Bro zangu wawili kamaliza Law mwaka Jana na mwingine Account hizi kozi zilizoisha juzijuzi walikuwa nyota moja!!!