Kuna uwezekano kama watakuja kuchukua vikosini na mtaani basi watakuja kuchukua baada ya hao wanao enda kuripoti RTS KIHANGAIKO sasa hivi kufanyiwa vipimo. Jeshi halijawahi kupigisha kozi anifiti hata uwe na umuhimu

Mi nafikiri hao wamepewa kipaumbele tu sabab walijenga ikulu hvyo wanawahi kuanza vipimo kutokana na afya zao macement n.k ila watakao ingia bogi la pili ni hao wa makambini , baba kanituma na zari zarina....ila pia kuna oljoro sijui kama mwaka huu watapigisha ngwasuma.