Uenda uliowauliza hawana mifumo ,, maana ili ni jwtz la wananchi ,,ss kwa kigezo gaani wasichukue waliopo mtaani ?? Wakt kuna watu wapo mtaani wanamifumo yao wanaweza kuondoka kwa msg toka uraiani kurport rts ,baada ya hawa wajenzi kufika msata , .....yaani bhna haya mambo haya sio poa