Yote ya Yote nafasi za Jw zikitoka tu hata kama wasipotaka wa uraiani tushtuane tu...Yani ijulikane tu kuwa zimetoka basi inatosha kuhangaika Hadi kieleweke...Cha muhim wakuu tushtuane zikitoka nafasi za ajira JW

😄😄kijana una morali😁 ya hatarii..Cha muhim fanya mambo mengine huku unasikilizia yakitoka sawah yasipotoka endelea kupambana maana hakuna Namna Mungu atafungua njia tu