MrGeneous JF-Expert Member Joined Oct 3, 2020 Posts 561 Reaction score 285 Nov 16, 2021 #541 menekeda said: Oy makamanda tujiandae na Azwear ya Magereza Click to expand... Aaah mzee unatutisha ujue..? Hebu tuambie kwann wasema ivo..!
menekeda said: Oy makamanda tujiandae na Azwear ya Magereza Click to expand... Aaah mzee unatutisha ujue..? Hebu tuambie kwann wasema ivo..!
MrGeneous JF-Expert Member Joined Oct 3, 2020 Posts 561 Reaction score 285 Nov 16, 2021 #542 Walioomba magereza makao makuu list ya majina ya usaili haifiki 150.
M menekeda Member Joined May 10, 2018 Posts 68 Reaction score 14 Nov 16, 2021 #543 MrGeneous said: Aaah mzee unatutisha ujue..? Hebu tuambie kwann wasema ivo..! Click to expand... Mkuu siunaona wapo kimya mkuu!huu ukimya unahashilia nn
MrGeneous said: Aaah mzee unatutisha ujue..? Hebu tuambie kwann wasema ivo..! Click to expand... Mkuu siunaona wapo kimya mkuu!huu ukimya unahashilia nn
M menekeda Member Joined May 10, 2018 Posts 68 Reaction score 14 Nov 16, 2021 #544 MrGeneous said: Walioomba magereza makao makuu list ya majina ya usaili haifiki 150. Click to expand... Umejuaje mkuu?
MrGeneous said: Walioomba magereza makao makuu list ya majina ya usaili haifiki 150. Click to expand... Umejuaje mkuu?
man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Nov 17, 2021 #545 Mr pianoman said: Kati ya TAKUKURU na JWTZ wapi ukienda utakuwa umeotea mchongo? Click to expand... Hujapata hata Moja na hata dalili huwenda hauna Sasa unauliza mchongo je ni kweli?
Mr pianoman said: Kati ya TAKUKURU na JWTZ wapi ukienda utakuwa umeotea mchongo? Click to expand... Hujapata hata Moja na hata dalili huwenda hauna Sasa unauliza mchongo je ni kweli?
Gogo Kavu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2021 Posts 245 Reaction score 231 Nov 17, 2021 #546 Mr pianoman said: Imani inalipa. Kama kupata kwa zamu na mimi yangu itafika. Click to expand... Kaka umeongea kwa uchungu Sana daah!
Mr pianoman said: Imani inalipa. Kama kupata kwa zamu na mimi yangu itafika. Click to expand... Kaka umeongea kwa uchungu Sana daah!
Kizazijeuri Member Joined Sep 1, 2021 Posts 66 Reaction score 20 Nov 17, 2021 #547 Mr pianoman said: Mungu ni wa kwetu sote mkuu tutapata tu Click to expand... Hawa jamaa na zimamoto wanakosesha watu usingizi sio siri
Mr pianoman said: Mungu ni wa kwetu sote mkuu tutapata tu Click to expand... Hawa jamaa na zimamoto wanakosesha watu usingizi sio siri
MrGeneous JF-Expert Member Joined Oct 3, 2020 Posts 561 Reaction score 285 Nov 17, 2021 #548 Kizazijeuri said: Hawa jamaa na zimamoto wanakosesha watu usingizi sio siri Click to expand... Aisee acha tuu......pengine wanataka jw wachukue watu wao kwanza
Kizazijeuri said: Hawa jamaa na zimamoto wanakosesha watu usingizi sio siri Click to expand... Aisee acha tuu......pengine wanataka jw wachukue watu wao kwanza
June JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 490 Reaction score 663 Nov 17, 2021 #549 menekeda said: Umejuaje mkuu? Click to expand... akikujibu nitag
Kizazijeuri Member Joined Sep 1, 2021 Posts 66 Reaction score 20 Nov 17, 2021 #550 MrGeneous said: Aisee acha tuu......pengine wanataka jw wachukue watu wao kwanza Click to expand... Ni uzembe wa hali ya juu yaan bora mambo ya ndani wangemalzana na watu wao mapema
MrGeneous said: Aisee acha tuu......pengine wanataka jw wachukue watu wao kwanza Click to expand... Ni uzembe wa hali ya juu yaan bora mambo ya ndani wangemalzana na watu wao mapema
AmarokB JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 893 Reaction score 753 Nov 17, 2021 #551 MrGeneous said: Walioomba magereza makao makuu list ya majina ya usaili haifiki 150. Click to expand... Kama huna taarifa ya uhakika unatulia tu kama wengine tunasubiri.
MrGeneous said: Walioomba magereza makao makuu list ya majina ya usaili haifiki 150. Click to expand... Kama huna taarifa ya uhakika unatulia tu kama wengine tunasubiri.
M menekeda Member Joined May 10, 2018 Posts 68 Reaction score 14 Nov 17, 2021 #552 Kizazijeuri said: Hawa jamaa na zimamoto wanakosesha watu usingizi sio siri Click to expand... Mkuu Hawa watu sio wa kutegemea , inabidi tuchukulie Kama hawakutoa nafasi ya kutuma maombi .
Kizazijeuri said: Hawa jamaa na zimamoto wanakosesha watu usingizi sio siri Click to expand... Mkuu Hawa watu sio wa kutegemea , inabidi tuchukulie Kama hawakutoa nafasi ya kutuma maombi .
Kizazijeuri Member Joined Sep 1, 2021 Posts 66 Reaction score 20 Nov 17, 2021 #553 menekeda said: Mkuu Hawa watu sio wa kutegemea , inabidi tuchukulie Kama hawakutoa nafasi ya kutuma maombi . Click to expand... Ni wazo zuri jpo ku assume ndo inakua ngumu kamanda
menekeda said: Mkuu Hawa watu sio wa kutegemea , inabidi tuchukulie Kama hawakutoa nafasi ya kutuma maombi . Click to expand... Ni wazo zuri jpo ku assume ndo inakua ngumu kamanda
MrGeneous JF-Expert Member Joined Oct 3, 2020 Posts 561 Reaction score 285 Nov 17, 2021 #554 Kizazijeuri said: Ni wazo zuri jpo ku assume ndo inakua ngumu kamanda Click to expand... Minadhani tuendelee kujipa matumaini hizi week 2.....watatoa tuu japo subra ngumu
Kizazijeuri said: Ni wazo zuri jpo ku assume ndo inakua ngumu kamanda Click to expand... Minadhani tuendelee kujipa matumaini hizi week 2.....watatoa tuu japo subra ngumu
Kizazijeuri Member Joined Sep 1, 2021 Posts 66 Reaction score 20 Nov 17, 2021 #555 MrGeneous said: Minadhani tuendelee kujipa matumaini hizi week 2.....watatoa tuu japo subra ngumu Click to expand... Au kumbukumbu zao za majina virus katafuna zote wanafikiria waanzie wp kusem tutume upya maombi
MrGeneous said: Minadhani tuendelee kujipa matumaini hizi week 2.....watatoa tuu japo subra ngumu Click to expand... Au kumbukumbu zao za majina virus katafuna zote wanafikiria waanzie wp kusem tutume upya maombi
Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,884 Reaction score 1,465 Nov 17, 2021 #556 Tatizo la kuruta Hulu mnataka MAGEREZA TZ wafuate matakwa yenu. Kila kazi inafanywa Kwa utaratibu na mipango yake. ushauri wangu Ni kwamba endeleeni kusubiri mpaka siku watakapokamilisha taratibu zao na kutoa majina
Tatizo la kuruta Hulu mnataka MAGEREZA TZ wafuate matakwa yenu. Kila kazi inafanywa Kwa utaratibu na mipango yake. ushauri wangu Ni kwamba endeleeni kusubiri mpaka siku watakapokamilisha taratibu zao na kutoa majina
fundinaizer JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 1,821 Reaction score 2,894 Nov 17, 2021 #557 Tpdf daah hawa jamaa
MrGeneous JF-Expert Member Joined Oct 3, 2020 Posts 561 Reaction score 285 Nov 17, 2021 #558 fundinaizer said: Tpdf daah hawa jamaa Click to expand... Wamefanyaje kaka
M menekeda Member Joined May 10, 2018 Posts 68 Reaction score 14 Nov 17, 2021 #559 Kizazijeuri said: Au kumbukumbu zao za majina virus katafuna zote wanafikiria waanzie wp kusem tutume upya maombi Click to expand... Mkuu virus Tena?🤣🤣🤣🤣
Kizazijeuri said: Au kumbukumbu zao za majina virus katafuna zote wanafikiria waanzie wp kusem tutume upya maombi Click to expand... Mkuu virus Tena?🤣🤣🤣🤣
MrGeneous JF-Expert Member Joined Oct 3, 2020 Posts 561 Reaction score 285 Nov 17, 2021 #560 MrGeneous said: Wamefanyaje kaka Click to expand... .