Ila we jamaa ulivyopata kiukweli nimefurahi sana hii id yako naikumbuka mlikuwa mnalalamika wewe yule jamaa aliosomea afya na yule jamaa wa tanga mmekatwa saili mbalimbali mbanga nyingi ila zamu yako ikifika imefika tu umepambana sana
nilikuwa nakusoma huko juu coment za zamani ulivyokuwa ukiaga wenzako leo unaagwa wewe kilaheri huko uendako
enzi zile kuna id tulikuwa tunashinda nazo humu daah wanatuaga roho inauma kichizi wadau wachache tuliobakia id nikiziona nilikuwa napata hope wahun wangu bado nipo nao tutaondoka tu sema nini kaka irudie ile id yako nitapenda na wewe uondoke nayo kwa kishindo
inshaallah
Polisi na uhamiaji na fire wanakuja najua mwanangu hapo lazima uondoke na mmoja