Msaada interview utumishi

MANGAZINE

Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
8
Reaction score
3
Nimepangwa mbeya nami niko dsm je inawezekana kufanyia nilipo??? mwenye kujua ple
 
Nimepangwa mbeya nami niko dsm je inawezekana kufanyia nilipo??? mwenye kujua ple

hapana. Nenda ulikopangiwa si uliandika unapatikana mbeya ndo maana wamekupeleka karibu na nyumbani ili kukupunguzia gharama za usafiri.
 
Ndug uliweka anuani ya mbeya bdo unataka ufanye dsm... Kwa jina gani
 
Ndugu zangu acheni fikra potofu mnang'ang'ania dar mlizaliwa uko kwan dar kuna nn ambacho hakipo mikoani nendeni mikoani fursa nyingi zipo uko msipo kuwa makini hamta timiza ndoto zenu ata siku moja yangu ni hayo tu, asante.
 
Umekurupuka....wengine tupo dar tunadunduliza na vibarua vyetu vya kulipwa kwa siku huku tukifanya application.....hivi kwa mimi ninayepata elfu tano kwa siku huoni kama nauli hadi mbeya itaathiri sana kiwalleti changu hiki cha mtumba? Wengine vijijini kwetu hata network ya simu haipatikani unataka nikakae huko nilime viazi? Tungekuwa hatupendi mikoani wala tusingeapply hii post ya hr maana nafasi za kufanya kazi zipo wilayani na mikoani....probability ya kupata kazi yenyewe ndogo unataka ni-risk pakubwa ili nigundue nini? Btw sidhani kama kuna mtu kakataa kwenda mkoani ila watu wanaangalia kama kuna uwezekano wa kupunguza gharama zisizokuwa za lazima full stop.
 
Siku nyingine tumia anuani ya dsm.. Anuan ni oale unapopatikana kwa mda huo
utumishi wamecheki anuan wakajua ndipo ulipo

beba mzigo au ukionaje ipotezee till next time
 
Siku nyingine tumia anuani ya dsm.. Anuan ni oale unapopatikana kwa mda huo
utumishi wamecheki anuan wakajua ndipo ulipo

beba mzigo au ukionaje ipotezee till next time

Wewe unajua kesho utakuwa wapi? Mi nipo Dar na interview yangu ipo Dar nlikuwa namjibu tu huyo hapo juu
 
Hilo ni janga la wote ila me naona c mbaya kwan hawa jamaa wameangalia mambo 2 kwanza mlundikano wa wasailiwa pale dar,pili garama,na wewe c uliweka adres mwenyewe?
 
Ndugu zangu acheni fikra potofu mnang'ang'ania dar mlizaliwa uko kwan dar kuna nn ambacho hakipo mikoani nendeni mikoani fursa nyingi zipo uko msipo kuwa makini hamta timiza ndoto zenu ata siku moja yangu ni hayo tu, asante.

Hakuna mtu anang'ang'ania sehem bila kuwa na la kufanya..... afu maisha popote unapopata fursa ya kuingiza pesa...
 
Umewasaidia wenye fikra potofu ahsante kwa kuwaelimisha
 
Ndugu zangu acheni fikra potofu mnang'ang'ania dar mlizaliwa uko kwan dar kuna nn ambacho hakipo mikoani nendeni mikoani fursa nyingi zipo uko msipo kuwa makini hamta timiza ndoto zenu ata siku moja yangu ni hayo tu, asante.

wewe ndo unafikra potofu, kwa mfano mtu mkaazi wa,mbeya na alijaza anaptkana mbeya ila kwa sasa yupo Dar na mambo yake mengine na ameitwa Mbeya huon kwamba kuna shida hapo. Kwani aliekwambia kazaliwa Dar nan? Watu ni mobile n dynamic watu sio km kimondo cha Vwawa Mbozi tangu kilipoanguka kipo pale pale. Kabla hujatoa povu kujibu chochote fikiri kwanza.
 
bora umemfungua mawazo huyo mtu hapo juu. Mimi mzaliwa wa pande hizi hizi za pwani na naul ya kuingia mjin is less than 5000 lakin najua usumbuf wa kwenda na kurud mikoan coz nimesoma huko tangu olevo mpk kadegree kangu. Yeye anadhan kila mtu kasema kazaliwa Dar. Ikumbukwe kazi ziliombwa muda mrefu zaid ya miez 3 iliopita sasa unadhan mpk leo mtu bado yupo sehem ile ile? Cha kuzingatia sasa hivi km mtu ataomba kazi abadilishe current adress, thats the point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…