C Chwaka JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 204 Reaction score 49 Sep 26, 2014 #21 beal said: pepa zao hao jamaa hwasahihishi wala nn! mimi kuna pepa nliingia nkaandika jina na kutoka cha kushangaza matokeo yanatoka nimescore 50% Click to expand... duh ni shida kweli kweli, UTUMISHI huwa hawatumii majina katika hatua za awali katika usaili so acha kupotosha umma kijana..!!
beal said: pepa zao hao jamaa hwasahihishi wala nn! mimi kuna pepa nliingia nkaandika jina na kutoka cha kushangaza matokeo yanatoka nimescore 50% Click to expand... duh ni shida kweli kweli, UTUMISHI huwa hawatumii majina katika hatua za awali katika usaili so acha kupotosha umma kijana..!!
S SEPO Member Joined Jan 18, 2014 Posts 53 Reaction score 16 Sep 27, 2014 #22 anda migi----nzuri umesahau kauzoefu.ketu kale nondo
sawaka JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 201 Reaction score 31 Sep 27, 2014 #23 utumishi noma...unakuta swali moja uandike research proposal...
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,151 Reaction score 88,842 Sep 28, 2014 #24 jumamosi pale mwalimu nyerere memorial univ. hapakutosha aisee