Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Hata mimi ni vivyo hivyo niko mkoa hao waliopo kwenye hizi ofisi za mikoa ni mbumbu mzungu wa reli hawajui chochote ndio maana tunakimbilia JF ,kwani JF ni zaidi ya hao walioko huko kwenye hizo customer care za hayo makampuni ya simu,wengi ni akina dada na kazi ni kujishebedui na visimu vyao tu badala ya kufanya kazi na kujifunza,kinachoshangaza ni kuwa kuna watu kwa mfano wameaajiriwa kwa kushughulikia matatizo ya uungwanishaji wa intaneti na vitu vingine lakini si wataalamu wa hizo simu,nilitegemea hapo kungekuwa na watu waliosomea ufundi wa simu na mawsiliano,lakini wapi hata setting hawajui,ukiulizaNawasalimu wana Jf...kuna kitu kinanizingua the whole week..ninatumia simu Blackberry 9780..mwanzo nilikuwa natumia Airtell ilikuwa inafanya vizur lakin nilipobadilisha line na kutumia tigo hapo ndo mambo yamekwama nime-subscribe bando za internet twice but nothing have been materialize sor far...nahitaji msaada wenu kwa yeyote anayelijua hili
Ndo Tanzania yetu hii..utamkuta mtu kasoma sheria yupo bank kama teller sasa ndo hivyo na najua kwamba ukienda kwenye center zao ndo kichef chef......wameshakula pesa mara mbili bila huduma but naamini hapa JF wapo wanaowezaHata mimi ni vivyo hivyo niko mkoa hao waliopo kwenye hizi ofisi za mikoa ni mbumbu mzungu wa reli hawajui chochote ndio maana tunakimbilia JF ,kwani JF ni zaidi ya hao walioko huko kwenye hizo customer care za hayo makampuni ya simu,wengi ni akina dada na kazi ni kujishebedui na visimu vyao tu badala ya kufanya kazi na kujifunza,kinachoshangaza ni kuwa kuna watu kwa mfano wameaajiriwa kwa kushughulikia matatizo ya uungwanishaji wa intaneti na vitu vingine lakini si wataalamu wa hizo simu,nilitegemea hapo kungekuwa na watu waliosomea ufundi wa simu na mawsiliano,lakini wapi hata setting hawajui,ukiuliza
Nawasalimu wana Jf...kuna kitu kinanizingua the whole week..ninatumia simu Blackberry 9780..mwanzo nilikuwa natumia Airtell ilikuwa inafanya vizur lakin nilipobadilisha line na kutumia tigo hapo ndo mambo yamekwama nime-subscribe bando za internet twice but nothing have been materialize sor far...nahitaji msaada wenu kwa yeyote anayelijua hili
Kama uko mkoani/ukitoka as far as kibaha set network mode to 2G
ndo ilivyo kaka wanabahatisha bahatisha tuu...nchi ishakufa hii unadhani?hamna kituhahaha ina maana hao wameajiriwa lakini hawajui kitu? OMG its strange.. Wanapeana kazi kiundugu ndugu so ufanisi ni zero
NIKO Dar mkuu,but mtaufanyia kaz ushauri wako.....thanx sana mkuu
hahaha ina maana hao wameajiriwa lakini hawajui kitu? OMG its strange.. Wanapeana kazi kiundugu ndugu so ufanisi ni zero