hili hata mimi limekua tatizo kwangu;nilikua hapo mwanzo natumia [internet download manager] tatizo likaanza zilipopita siku 30 wakaanza kunitumia jumbe za kujisajili,mwisho wakanifungia,
nilijaribu nikapata [idm]nyingine nikawa natumia,lakini wakawa wananitumia ujumbe kwamba iyo [idm] ninayo itumia ni feki sasa wameifunga kabisa heti mpaka nijisajili,
wakuu tusaidieni wenye kujua suluhisho la ihi kitu,asanteni;