Usikatishwe tamaa na walalahoi wenzangu wa hapa JF ambao mara nyingine ukiwasikiliza sana utapotea. Tafuta fundi Mzuri Escudo yako bado inaweza kukusukuma sana hapa Mjini. Zingatia hitajio la Moyo kamwe usitishike na maneno ya vijembe toka kwa wakosaji.