Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 994
Hongera sana. Ukihitaji mashine hizo hapahapa Tanzania utazipata. Zipo zilizoundwa ndani ya nchi na nyingine zimeingizwa kutoka nje ya nchi. Ukiingiaa Google utawapata wauzaji wengi tu. Andika kwa kiswahili ili upate orodha kubwa ya wauzaji wa Tz. Kuagiza nje, changamoto kubwa ni gharama za kusafirisha zipo juu sana, inaweza kuwa zaidi ya manunuzi!Habari! Kwa yeyote mwenye ushauri kuhusu kifaa tajwa hapo juu nakarisha,nahitaji hiko kifaa walau kile cha kuanzia mayai 300,brand ipi nzuri,automatic au manual,bei zake,za hapa bongo au nje ya nchi ni nzuri na vipi kuhusu za china na mataifa mengine na kama nitaagiza nje je kodi ipoje maana hii serikali ya viwanda sasa iko excempted kwa machine kama hizo na mengine zaidi sina uzoefu juu ya hili pia kama kuna sehemu nimekosea naruhusu pia kukosolewa.Shukrani
Shukrani mkuu naweza zipataje hizoZa china zina bei nafuu halafu ni complecated sio imara sans,za ulaya NI Bors zaidi
Unaagiza kutoka nje,ila kupunguza gharama ya incubator,Mimi huwa naagiza controller za joto kutoka ulaya ,nakuja kufunga na kutengeneza jumba mwenyeweShukrani mkuu naweza zipataje hizo
Mkuu sory naparamia Maada! Ivi ni ni Kweli kutotoresha vifaranga kuna msimu? Hii ni baada ya kupeleka zaidi ya maara mbili kwenye kituo cha kutotoresha bila mafanikio hatimae nikaambiwa msimu wa kutotoresha bado! Naomba kujua jamaniUnaagiza kutoka nje,ila kupunguza gharama ya incubator,Mimi huwa naagiza controller za joto kutoka ulaya ,nakuja kufunga na kutengeneza jumba mwenyewe
Anhaa umenipa mwanga unaweza nisaidia brands ya hiyo controller na specs zake,markert ili nifanye hivo pia mkuuUnaagiza kutoka nje,ila kupunguza gharama ya incubator,Mimi huwa naagiza controller za joto kutoka ulaya ,nakuja kufunga na kutengeneza jumba mwenyewe
Sio kweli mkuu,Mimi natotolesha mwaka mzima hakuna msimu ,labla machine zinazotumia mafuta ya taa nimewaki kusikia msimu wa baridi ndio zinasumbuaMkuu sory naparamia Maada! Ivi ni ni Kweli kutotoresha vifaranga kuna msimu? Hii ni baada ya kupeleka zaidi ya maara mbili kwenye kituo cha kutotoresha bila mafanikio hatimae nikaambiwa msimu wa kutotoresha bado! Naomba kujua jamani
Nazo tumia Mimi ni positive temperature thermoregulator kutoka Ukraine,za Ukraine zina bei nafuu,yoyote inayotoka Ukraine minaona NI nzuriAnhaa umenipa mwanga unaweza nisaidia brands ya hiyo controller na specs zake,markert ili nifanye hivo pia mkuu
Unaagiza kutoka nje,ila kupunguza gharama ya incubator,Mimi huwa naagiza controller za joto kutoka ulaya ,nakuja kufunga na kutengeneza jumba mwenyewe
Za solar pekee zipo,kwani huendagi maonyesho ya nane,zinaletwaga,ila gharama zipo kwenye solar ,inafika mpaka milioni mbili,ila nzuri ni zile zinazo combine solar na gas,ni nafuu sana kwenye matumizi,mtungi wa kilo sita unatosha kwa muanguo mmoja (Sikh 21),solar yake haizidi 120000/=Incubator za kutumia umeme wa solar zipo? Kwa mwenye uwelewa wa incubator za solar anisaidie kwa kuzingatia ubora na udhaifu wake.