msaada in web design using php..how to categorize files ...

Skillseeker

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
225
Reaction score
34
habari za leo wanajf,

naombeni mnielekeze jinsi gani ya kucategorize files. ninachohitaji ni mtu akiingia kwenye webpage yenye files mfano anataka aone videos basi aweze kuchagua ni video za aina gani kama ni nyimbo basi kuwe pia kuna list ya kuchagua kama ni za hiphop, gospel n.k. pia akiingia kwenye gospel kwa mfano basi kuwe kuna archieve list ya video kulingana na muda zilipokuwa uploaded. latest uploads ziwe juu...

nimeweka picha ya mfano wa kitu ninachotaka kujua jinsi ya kufanya....



 
Unatengeneza website from scratch? Moja wapo ya njia ni kuwa na field inaitwa category kwenye database inahifadhi hizo media files. Then wakati wa ku upload mtu ata chagua category husika. Wakati wa kudisplay utatumia sql statement ku select media files where category is ..... Nimejaribu kukupa concept tu
 
iMind, ninatengeneza from scratch..naha nikaproject kadogo nakafanya ili nipate idea ya php. naomba ufafanuzi zaidi kama utaweza maana hapa naona umenionjesha kwa mbaaali tu.. website yangu nataka iwe ni kwaajili ya efw users to be responsible to upload files and the rest of users wawe ndio views wakiwa na uwezo wa kudownload pia hayo mafile ambayo yatakuwa ni pamoja na video,audio,pictures, documents na very few softwares
 
Last edited by a moderator:
Tumia database, tengeza table ya files na categories. The ukieka relation btwn file na category utajua which file belongs whch category. thats it!
 
Kwa mahitaji hayo tafuta ready made PHP script u install kwenye server yako, the app will do the rest

Kujaribu coding from scratch inawezekana ila its realy heavy job which may take very long time regardless you are beginer or advanced programmer

PM me if you are serious with project, will guide you through the process


 
Hii kitu ni simple kama walivyosema hapo juu tables zako zinaweza zikawa kama hivi CATEGORIES-category_ID,category_name na FILES-file_ID,file_name,file_category,file_name

Kwenye PHP script yako inabidi uwe creative just piga some simple SQL inner joins and you are good to go kila category unaweza iweka na files zake... I hope utakuwa fresh kidogo kwenye maswala ya database connection na PHP.

Kama ni beginner sikushauri uanze kutumia ready made scripts ni kama kukimbilia suti huku hujavaa nepi as a true programmer lazima ujue how things are actually being done in the background, jitahidi utengeneze as many applications as you can hata kama ni for fun trust me baada ya muda utajikuta una framework yako mwenyewe unayoweza ku-reuse kwa kazi tofauti.

Utakapokwama utujulishe ni wapi hasa umekwama then tunaweza kukusaidia kufanya debugging ya code zako pamoja,in programming it helps in expanding your thinking and creativity pale unapopambana na tatizo mwenyewe mpaka mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…