Una mtu serikalini?? Manispaa, halmashauri etc una connection ya uhakika huko??
Kama hauna connection ya uhakika achana nayo unapoteza muda wako utazunguka na vyeti mpaka ukome.
Mimi ni kaka yako ninekushauri ila maneno yangu sio sheria best of luck
Sent from my iPhone using JamiiForums