Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

Madaktari huwaga mna ugonjwa wa kupenda..sio libwata
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ila huyu jamaa kadhalilisha sana ukoo wao
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani ukiwa nice guy katika huu ulimwengu wa mapenzi wa tz utasomeshwa Sana namba utajuta kuzaliwa
Hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vivuruge vitakuvuruga sanaa mpaka utembee unaongea barabaran
 
Hiyo Ni kweli kabisa
hamna limbwata bali ulimpenda kweli naakajua hivo hakuacha kukuzua huyo hamna limbwata hapo na wewe hujaamua kumuacha siku ukiamua kukubali kua huyo si wako bas utayaweza mengine
 
Bravo. Man down. I repeat man down... We are surrounded and we are taking heavy enemy fire. We need air support. Bravo do you copy?
Copy that Soldier...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mamaeeee walai daaaaaaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Move on wewe bishoo. Upendo gani wa kindezi hivyo?
Futa namba, futa convo na kila kinachomuhusu kwenye simu yako then chill up utamsahau tu japo itachukua muda kiasi.
Pale namba inapokaa kichwani. Na kujikuta unaisave tena. Mazoea, unamiss uwepo wake. Hii kitu hainaga masihara ikikukumba. Pole kwake aisee
 
Pole sana yote yapo amependa au umelogwa wanawake sasa wamekuwa washirikina sana njoo DM
 
Almost 1 Month ( Kuna Mtu Alinipa Ushaur Niwe Na Mtu) Itakuwa Rahis Kumsahau Yule
Kuwa na mtu kwa haraka ivyo. Hakukufanyi wewe umsahau Yule. Sana sana utamuumiza mdada wa watu na usimuonyeshe upendo wa kweli. Na mwsho wa siku akili ikakutuma kumrudia Yule wa mwanzo. Ukaoa haraka baadae ukajuta kuwa hukumpenda Ila ktk harakati za kupambana na maumivu ndiyo ukajikuta umeoa kwa hasira tu. Inashauriwa ukitoka kuachana na mtu, tulia kwanza kwa muda bila mahusiano yoyote, tuliza akili yako na usiende kwa pupa.
 
Mmh kweli ni kazi. Pole Sana mkuu. Jaribu kutumia muda kumsahau. Na pia jikite zaidi kwenye maombi. Jali mambo yako, wl usimfuatilie.
 
Alishakusoma mpak akakumaliza vyote hilo ndio tatizo lako na anajua huna mbadala wake.

Kama unapenda kuishi katika shida hizo endelea kumsamehe kana kwamba mshafunga pingu za maisha

Unapaswa kuanza moja kama unahitaji move on. Line weka mpya, fb fungua mpya, email, insta, na mikolokocho yooote ya mawasiliano futa kila kitu cha kuwasiliana naye .

You may move on now, out of that tegemea ipo siku utapata ulemavu au kifo kwa ajiri yake.

Clinical officer is the course people need . Usidhaalilishe fani shehe.

Kila la kheri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…