Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

Hujarogwa Ila huna kanuni za kuendesha mahusiano yako, mfano ungeweka kanuni ya kutokuwa na mwanamke aliyetembea na mwanaume mwingine ndani ya mahusiano yenu na ushahidi unao ungeshamuacha siku nyingi na ukawa umetafuta mtu anayejiheshimu, hivyo tengeneza kanuni zako na umujulishe mhusika wako Ili akivunja na mahusiano yanakufa bila kugeuka nyuma.
 
Duuuuhh

Boss jitahidi sana uachane na huuyo malaya asee, atakucost maisha yako, hutaendelea nakwambiaaa.
 
Man kwanza badili id hilo jina "Smart" halikufai cheki na tafuta kinyume chake.
Unarudi kwake kwasababu huna mbafala, tafuta mbadala wake ambae upo nae sehemu moja atakuweka bize hutomkumbuka na pia ashki haitokuwepo. Usipoachana nae yatakukuta makubwa zaidi haswa gonjwa. Sepa msala huo...shtuka Mungu amekupa signal zote lakini huzioni.
 
Pole sana mkuu wangu,jifunze siyo kila mwanamke unapompata unampeleka kwa mama,pia kua busy na kazi zako tembelea mitandao ya kijamii kurefresh akili,mwisho wa siku utasahau, hata mm iliwah nipata,na naiman wanaume wengi tulishapitia hili.

Hapo nabisha ata ukiweka gun kichwani kunilipua mkuu sio wot tumepitiq uko
 

Atakapo acha kujali sana
Ndipo atakapoacha kumia kam hv
 
hamna limbwata bali ulimpenda kweli naakajua hivo hakuacha kukuzua huyo hamna limbwata hapo na wewe hujaamua kumuacha siku ukiamua kukubali kua huyo si wako bas utayaweza mengine
Ni kweli ila kama vipi vuta cha chuga huku ukinuwia kumuona kama mwanaume mwenzio
 
Duu Jamaa una Moyo.. mi nikihisi tuu bila ushahidi Ni mbio za Kipchoge... How come unavumilia na kulilia upuuzi kiasi hicho??
 
Mk.undu kweli eti nikalia sana,unalia sana wakati malaya keshakusaliti zaidi ya mara moja..

Hizi nitaka taka zakuomba ushauri sasa!kutongoza hujui umepata demu tokea upo darasa la kwanza ndo unemung’ang’ania huyo hadi kazini..

Yaani mwanaume mzima na pumbu zako kbs hujui ufanye nini

Akyamungu uchawi upo
 
Ulilia [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]???? Yan umemkuta demu na Jamaa na bado unalia
Hata yeye anajishangaa ndo maana anakuuliza hapa Kama huo ni upendo au amerogwa!.

Naona hamsomi kisa chake kwa lengo la kumsaidia.
 
Tafuta mwanamke mwingine.
 
Mzee kwa hali hiyo si utakuwa unaharibu tu simu na PC za watu watakazokuletea utengeneze?. Sasa umesoma CoTC unapitia yote si ungevuta manzi tu hapo mwingine?. Bado hapo mitaa ya Tiffany pisi kali si zipo unyooke nazo tu

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Tujifunze kupenda kwa akili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…