Mdogo wangu anasumbuliwa na vipele leo ni siku ya tatu usiku wa kuamkia leo hajalala hivo kutazama vimekuwa vikubwa kiasi tumejaribu kumkamua wametoka wadudu kila kipele kimoja kimetoa mdudu mmoja hili linaweza kuwa tatizo gani?
Wadudu waliotoka ni mfano wa funza kama wanavyonekana pichani.