donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
kuna utility moja inaitwa easy recovery, ni nzuri jaribu hiyo ..pole!
Hakuna software inayoweza kufix hardware damage, hiyo ndo ishaenda unless upo teyari kulipa maelfu ya dola kuna kampuni zinaweza kuifungua na kuhamisha plates.
Ndo maana nawaambiaga watu external sio backup ya kutosha hasa kwa documents, muvi hazina tatizo utazipata upya.
In the future kwa docs tumia dropbox.com at least, ina 2GB free, file zako zinahifadhiwa kwenye server zao na zina sync automatically.
makampuni yapo bongo au korea kusini,nina tatizo kama la huyo mtu!
Bongo itakuwa ngumu.
Hebu jaribu kuwaona hawa www.datarecovery.c.tz wanaweza kukusaidia m2 wangu
Angalia nimeedit kulikuwa na makosa kidogo kwenye website.
mimi mdogo wangu pia alidondosha ya 300GB.then after miezi 3 mwenyewe nilidondosha ya 250 GB.zilikuwa na the same symptoms kama hiyo yako,tatizo ni hardware failure,no software can solve this!.ndani ya hdd kuna head mfano wa sindano ya player(za kucheza santuri)heads zimekuwa stuck,MIMI NILIZITUMA INDIA,WAKAZIREPEAR NA KURECOVE ALL MY MOVIES,DOCS N.K.so kama upo interested nikupe contacts zao uwatumiewaku u leo nlikua natumia exteno yngu ya 640gb smsung gfla ikaanguka. adi saivi haisomi japo kita kinawaka. na kinchoniuma ni reports zangu,500movies na games zakutosha. naomba msaada jamani niweze kurecover my data
Chukua kikombe kimoja cha dawa yako mzeewaloliondo, ikogeshe hyo HDD, wait kwa saa 2 itapona. Haha! Lol! I'm xory wish cud help.