Msaada: Huduma ya cable suppliers Mwanza

Msaada: Huduma ya cable suppliers Mwanza

Nywilla

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
379
Reaction score
350
Wasalaam! Hivi kweli Mwanza kuna office au wahudumu wa cable tv mjini na mitaani?
 
Ipo kuna inayoitwa barmedas cable office zao ziko pale karibu na salmakoni ukiulizia tu pale utawawapata
 
Wasalaam! Hivi kweli Mwanza kuna office au wahudumu wa cable tv mjini na mitaani?
wapo mkuu pale mtaa wa bantu na mtaa wa nkomo fika mitaa hiyo na ulizia barmedas cable au wengine wanaitwa mwanza satelite,au fika mtaa wa ghana na ulizia ghana cable angalizo
 
Ghana cable kwa wakazi wa maeneo Ghana na vitongoji jirani tu...ila Mwanza satellite na Barmedas jiji zima wametandaza nyaya zao!
 
Ghana cable kwa wakazi wa maeneo Ghana na vitongoji jirani tu...ila Mwanza satellite na Barmedas jiji zima wametandaza nyaya zao!
Mkuu shukrani sana vp kuhusu bei yao?
 
Back
Top Bottom