Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Sep 15, 2016 #1 Habari wanajamii,Nina Simu tajwa hapo juu niliiroot baada ya muda kama masaa 6 nilibadili line na kuweka laini nyingine nilipoiwasha ikagoma kabisa kuwaka tatizo ni nini naomba ushauri au ndio imekufa kabisa nitafute Simu nyingine
Habari wanajamii,Nina Simu tajwa hapo juu niliiroot baada ya muda kama masaa 6 nilibadili line na kuweka laini nyingine nilipoiwasha ikagoma kabisa kuwaka tatizo ni nini naomba ushauri au ndio imekufa kabisa nitafute Simu nyingine
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Sep 15, 2016 #2 unaposema imegoma kuwaka unamaanisha nin