oxlade JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 601 Reaction score 96 Sep 13, 2015 #1 niiformat tab yangu ya huawei baada ya hapo nikawa siwezi tena kupokea wala kupga simu. naomba msaada nifanyaje ili nirudishe iwe ktk hali ya kawaida?
niiformat tab yangu ya huawei baada ya hapo nikawa siwezi tena kupokea wala kupga simu. naomba msaada nifanyaje ili nirudishe iwe ktk hali ya kawaida?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Sep 13, 2015 #2 angalia kama kuna dialer, kama hakuna jaribu kudownload nyengine. pia angalia kama kuna firmware update inaweza kusolve.
angalia kama kuna dialer, kama hakuna jaribu kudownload nyengine. pia angalia kama kuna firmware update inaweza kusolve.
oxlade JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 601 Reaction score 96 Sep 13, 2015 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: angalia kama kuna dialer, kama hakuna jaribu kudownload nyengine. pia angalia kama kuna firmware update inaweza kusolve. Click to expand... dialer haipo. kama kuna link ya kudownload naomba unsaidie mkuu
Chief-Mkwawa said: angalia kama kuna dialer, kama hakuna jaribu kudownload nyengine. pia angalia kama kuna firmware update inaweza kusolve. Click to expand... dialer haipo. kama kuna link ya kudownload naomba unsaidie mkuu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Sep 13, 2015 #4 oxlade said: dialer haipo. kama kuna link ya kudownload naomba unsaidie mkuu Click to expand... nenda tu playstore search dialer zitakuja kibao
oxlade said: dialer haipo. kama kuna link ya kudownload naomba unsaidie mkuu Click to expand... nenda tu playstore search dialer zitakuja kibao