wakuu nilitaka ku unlock hii mordem ya tigo nimeweka line ya Airtel nikichomeka ktk usb ili itokee unlock box niweke unlock code unlock box haijitokezi badala yake ina inatoka massage inasema
only the specified SIM/USIM card can be used on the device
kuna njia nyengine ili nipate unlock box ili niweke unlock code?
natanguliza shukran