leez salu Member Joined Oct 2, 2013 Posts 35 Reaction score 8 Mar 21, 2014 #1 rafiki yangu ana huawei y 300 analalamika youtube haiplay haifanyi chochote.pia anataka kuchukua picha instragram anashindwa.unakuta kapenda picha flani hawezi kuchukua. #mjumbehauwawi #
rafiki yangu ana huawei y 300 analalamika youtube haiplay haifanyi chochote.pia anataka kuchukua picha instragram anashindwa.unakuta kapenda picha flani hawezi kuchukua. #mjumbehauwawi #
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Mar 24, 2014 #2 leez salu said: rafiki yangu ana huawei y 300 analalamika youtube haiplay haifanyi chochote.pia anataka kuchukua picha instragram anashindwa.unakuta kapenda picha flani hawezi kuchukua. #mjumbehauwawi # Click to expand... Picha za Instangram hauwezi zidownload labda ufanye SCREEN CAPTURE afu u-CROP uondoe maneno ya instangram Hilo swala la kushindwa ku-play youtube huenda Internet yake ni kimeo
leez salu said: rafiki yangu ana huawei y 300 analalamika youtube haiplay haifanyi chochote.pia anataka kuchukua picha instragram anashindwa.unakuta kapenda picha flani hawezi kuchukua. #mjumbehauwawi # Click to expand... Picha za Instangram hauwezi zidownload labda ufanye SCREEN CAPTURE afu u-CROP uondoe maneno ya instangram Hilo swala la kushindwa ku-play youtube huenda Internet yake ni kimeo