Habarini wadau,
Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.....Simu yangu tajwa hapo juu imekuwa iki-restart yenyewe mara kwa mara na nimeshindwa kujua tatizo ni nini
Inafika wakati inaniambia kuna system update za kama MB 300+ hivi lakini nkishamaliza kuzidownload inarestart na inaanza kuziingiza, ile progress bar inasogea kidogo kama 1/3 tu na inafail kuendelea. Inazima na inawaka yenyewe na naendelea na maisha kama kawaida ila kurestart bado haijakoma
Leo nikajaribu kudownload app flani hivi ya M-pesa lakini nilipojaribu kuiingiza inaniambia simu yangu iko-rooted na sio safe kwa app hii ya M-pesa, je tatizo linaweA kuwa ni kwa vile simu iko rooted? Cha kushangaza Mimi sijawahi ku-root simu yangu.
Mwenye ujuzi wa kurekebisha tatizo hili naomba msaada coz kurestart huku kunanikera sana
Niko DSM
View attachment 489306