Msaada: Hp probook win 10 start.

Code Breaker

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
1,019
445
Naomba msaada kujua tatizo ni nini kwa laptop yangu kugoma kuwaka ili Hali ina clean windows 10 na inaishia Kwenye neno "diagnosing your PC" muda mrefu sana.. Tatizo limekuwa likijirudia nikishusha window
 
c

chek hdd au badili windows aina nyengine kama 7 au 10 pro 32bit
 
Naomba msaada kujua tatizo ni nini kwa laptop yangu kugoma kuwaka ili Hali ina clean windows 10 na inaishia Kwenye neno "diagnosing your PC" muda mrefu sana.. Tatizo limekuwa likijirudia nikishusha window
it seems HDD itakuwa na tatizo jaribu ku change hdd
 
Back
Top Bottom