Nahitaji kujua kwa aliyewahi tumia hii printer kuhusu ubora wa picha zake na mengineyo, na pia upatikanaji wa catridge zake ambazo namba zake ni 564 na bei za hzo catridge.

Mkuu ukifanikiwa kupata catrdge zake please na mie nijulishe, nimezunguka kila kona ya jiji hili nimechemka; hivi sasa nimeishelve... ubora wa picha unakidhi haja ya soko; namaanisha average!!

watafute hawa watu wanaitwa 5star printing wanaweza kukufungia External catrage Ambazo ni za tank unaweza jaza wino kwa bei rahisi na Quality pic
Pia waweza watafuta wauzaji wa vifaa vya Epson.

Mchuzi juu tena hilo printer lenyewe ni all in one scanner copier na printer hapo hapo. Hilo tank sijui litakaa wapi? Ila nimefatilia nkaja kujua hizi printer zilikuwa ziuzwe US pekee na sio nje ya hapo ndo maana wino zake tabu, nilikuwa nasoma kwa forum moja hivi watu walionunua hizi printer huko germany wanahaha wino hazipatikani huko kwao.