Naomba msaada watu wangu nina hp laserjet 3025 printer haiwaki kabisa japo mwanzo ilikua inafanya kazi,yaani haiingizi moto nimejaribu kubadilisha power cable bdo haiwaki sijui shida inaweza kuwa nin bandugu zangu,Asanteni sana.

Hilo ni swala la power unit ambayo ipo ndani ya printer. Tafadhali wasiliana na mtaalamu wa electronics aliye karibu na wewe. Kama upo Arusha tuwasiliane