Skillseeker JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 225 Reaction score 34 Feb 24, 2013 #1 Habari wanaJF, Naomba mnisaidia na kunielimisha ni jinsi gani naweza kucreate webpage itakayomruhusu mtumiaji aweze kuangalia video online pamoja na kudownload hizo video na baadhi ya files nyingine zitakazokuwa uploaded kwa kutumia php...
Habari wanaJF, Naomba mnisaidia na kunielimisha ni jinsi gani naweza kucreate webpage itakayomruhusu mtumiaji aweze kuangalia video online pamoja na kudownload hizo video na baadhi ya files nyingine zitakazokuwa uploaded kwa kutumia php...