Msaada: Hoteli Mkoa wa Tanga

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
1,459
Reaction score
286
Wakuu naombeni msaada! Nina ujumbe wa vijana wangu saba nawatuma kuelekea Tanga kibiashara, wote ni wageni mkoa wa Tanga. Naombeni mnijuze hotel za kati zenye kiwango kati ya Tsh. 15,000 na Tsh. 25,000 kwa bed & breakfast.

Natanguliza shukrani!
 
Kolaprieto hotel nadhani kwa 25,000 utapata!
 
Wakitua just waulize taxi drivers.....!

Asante mkuu, lakini nilitaka ni book in advance kwa sababu watakaa kama siku 10 hivi na pia najaribu ku avoid kukaa mbali mbali kutokana na kukosa vyumba saba hotel moja!!
 
Ingawa hujasema kama ni Tanga sehemu gani lakini kam ni town na kama uko serious na wako serious niPM nikupe contacts za kijana taxi driver ni reliable mno alisaidia sana mimi
 
Wakuu naombeni msaada! Nina ujumbe wa vijana wangu saba nawatuma kuelekea Tanga kibiashara, wote ni wageni mkoa wa Tanga. Naombeni mnijuze hotel za kati zenye kiwango kati ya Tsh. 15,000 na Tsh. 25,000 kwa bed & breakfast.

Natanguliza shukrani!

Mkuu waambie waende San Siro Lodge barabara ya 16 room bei yake kuanzia 15,000 mpaka 30000/= hata huduma nyinginezo watapata tu pale.
 
Ingawa hujasema kama ni Tanga sehemu gani lakini kam ni town na kama uko serious na wako serious niPM nikupe contacts za kijana taxi driver ni reliable mno alisaidia sana mimi

Wanaelekea Tanga mjini mkuu!! Nimeku PM
 
Mkuu waambie waende San Siro Lodge barabara ya 16 room bei yake kuanzia 15,000 mpaka 30000/= hata huduma nyinginezo watapata tu pale.

shemeji nimekumiss
 
Mkuu waambie waende San Siro Lodge barabara ya 16 room bei yake kuanzia 15,000 mpaka 30000/= hata huduma nyinginezo watapata tu pale.

Nimekupata Fidel, mzee wa kuku wa kienyeji!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…