Msaada: Hoteli Dodoma

tangazo

Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
15
Reaction score
6
Habari wakuu,

Mimi ni mwenyeji kutoka Dar es Salaam nategemea kwenda Dodoma, naomba ushauri wenu wapi nitapata hotel nzuri yenye vinywaji malazi na chakula.

Ahsanteni
 
Unataka iliyokatikati ya mji au pembeni
Kuna
1.morena
2.4 points
3. Dodoma hotel
4..giftland
5. Marryland

Haiya sasa kazi kako. Hyoo morena ina hadhi ya nyota tano mkuu.
 
Ahsante elson nilikuwa nahitaji zilizo pemben ya mji kidogo
 
Unataka iliyokatikati ya mji au pembeni
Kuna
1.morena
2.4 points
3. Dodoma hotel
4..giftland
5. Marryland

Haiya sasa kazi kako. Hyoo morena ina hadhi ya nyota tano mkuu.

Ungenipatia na maeneo mkuu ungenisaidia sana ili wakati wakuchagua nikiwa hata na tax
asiejua mji tusisumbuane sana
 
kuna african dreams karibu na kwa waziri mkuu
 
DE-LUX hotel iko area A bei nafuu, vumba full-conteined,pombe zipo, akina dada powa wapo,nyama choma usipime, kuku aina ya kuchi toka Singida nusu kuku humalizi ukitaka wa kuchoma wa kukaanga ni wewe tu.
 
Hahahahaha nimecheka sana mkuu pia ahsante sana nitaiongezea kwenye orodha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…