A Africanis Member Joined Oct 19, 2020 Posts 37 Reaction score 28 Oct 19, 2020 #1 Habari jamani hivi kwa dar es salaam hospital gani wanaondoa makovu yaliyosababishwa na moto.
N Ngolo Mseka Member Joined Oct 17, 2020 Posts 28 Reaction score 6 Oct 19, 2020 #2 Africanis said: Habari jamani hivi kwa dar es salaam hospital gani wanaondoa makovu yaliyosababishwa na moto. Click to expand... Kuna watu kule insta wanajita Cloud9clinic naona wanafanya hiyo kazi.Watafute watakuelekeza walipo
Africanis said: Habari jamani hivi kwa dar es salaam hospital gani wanaondoa makovu yaliyosababishwa na moto. Click to expand... Kuna watu kule insta wanajita Cloud9clinic naona wanafanya hiyo kazi.Watafute watakuelekeza walipo