mmmmhhhhhh!!!!!kama umepekua pochi ya mpenzi wako ukakuta hizo vidonge na kama wewe huwa hutumii kinga bhas ni vema kuanza kula matunda kwa wingi, fanya mazoez kias,pumzisha mwili wako, epuka ngono bila kinga, mboga za majan tumia kwa sana, epuka kuwa na msongo wa mawazo nk... itasaidia kuongeza salio lako la miaka ya kuwa dunian mkuu
Ohooooo!!!kama umepekua pochi ya mpenzi wako ukakuta hizo vidonge na kama wewe huwa hutumii kinga bhas ni vema kuanza kula matunda kwa wingi, fanya mazoez kias,pumzisha mwili wako, epuka ngono bila kinga, mboga za majan tumia kwa sana, epuka kuwa na msongo wa mawazo nk... itasaidia kuongeza salio lako la miaka ya kuwa dunian mkuu
Hivyo vimeandikwa ALVya HIV ndo vp apo
Toba yailahmkuu pole ARV hizo. Cha muhimu usipanick tumia busara. kapime utapewa ushauri na wataalam mara nyingi mtu anayetumia Arv haambukizi kirahisi
Huku JF unaweza kupata majibu mengi lakini hutapata jibu la uhakika. Ushauri wangu ni kwamba angalia jina lililoandikwa juu ya dawa kisha google kuuliza dawa hizo ni maalumu kwa kutibu ugonjwa gani? Huko utapata majibu sahihi ! Jibu lolote lisikufanya upoteze utulivu wako! Always use akili in the best way!Vya HIV ndo vp apo
Mmmh mbona mnanichanganya kila mtu ananipa jibu lakeIvo vidonge hutumika kutibu Homa ya Ini bhana..
Wasikutishe bhana..
nenda angaza kajisalimisheMmmh mbona mnanichanganya kila mtu ananipa jibu lake
Kipindupingu cha kinga za mwili kwa kukupa matumainiNdo vinatibu ugonjwa gan
NpoHuyu mle mleta post kapotea ghafla huenda ameshachukua maamuzi magumu huko aliko