Pole Mkuu, hapo ni suala la elimu ya upimaji tu. Non reactive maana yake, Probably huna Virusi vya UKIMWI. PROBABLY. Ili kuwa na uhakika zaid pima tena baada ya miezi mitatu(angalizo: usipige tena kavu ndani ya hiyo miezi).Habari za mida wadau,
Leo katika pitapita zangu huku kijijini nikakuta mahali AMREF wameweka mahema yao wanatoa huduma za kupima magonjwa kama HIV, TB, Cancer, tezi dume, n.k bure.
Kwa kuwa nlikiwa napanga several times kwenda mjini kupima ngoma nikaona bora nimalizie shida yangu ya kupima pale.
Sasa baada ya kutolewa damu nikaambiwa nisubiri nje kama dk. 5 then nitakuta majibu yako tayari.
Wakati nipo pale nje akatokea kijana mmoja mle ndani tayari amepima na kapewa kadi yake tayari na nikaona nyuma imeandikwa HIV neg na ameandikiwa tar ya kurud kupima tena. Nikamuuliza aliingia ndani pale muda gani akaniambia asa hivi tu na aliniona natoka mimi ndo akaingia.
Baada ya dakika 6 nikaenda tena ndani kwenye hema kufata majibu lakini hapo nishaanza kuwa na wasiwasi nikaanza kujiuliza kwa nini mimi nimeambiwa nisubiri dakika 5 wakati huyu bwa mdogo hakuchukua hata dk 3 katoka na majibu???
Nilipofika ndani yule mama mpimaji akaniambia majibu yangu ni mazuri sina maambukizi ya UKIMWI. Akanipa hii kadiView attachment 500744View attachment 500745View attachment 500745
Baada ya kuona hii kadi moyo wangu uliripuka kidogo. Kila nikipima sijawahi kuandikiwa hivi "Non Reactive" sasa iweje leo?? Nikatoka nikiwa na maswali mengi na nikiamini kuna kitu cha ziada hapa. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka labda huyu mama ananificha kitu ni hizi:
1. Kitendo cha kunisubirisha mimi nje muda mrefu wakat kuna mwingine amewahishwa (nahisi alikuwa anapanga anitoke vipi)
2. Kitendo cha yule mama kutaka kuninyima ile kadi yenye majibu. Baada ya kuniambia sijaathirika nilinyoosha mkono kuchukua ile kadi akaniambia hata nisipoichukua ile kadi niende zangu tu home niendelee na ishu zangu akiniambia eti ile kadi anapewa aliyeathirika ili aendelee kupima TB. Nikamwambia nataka nipime na TB maana huwa nina tendency ya kubanja sana sana nikiamka usingizini akajaribu kunidiscourage lakini nikakaza hadi akanipa ndo nikaondoka zangu.
Wakuu naombeni mniondolee utata hapa. Neno HIV Non Reactive lina maana gani katika HIV testing??
Mbarikiwe zana
Antibodies ziko specific kwa antigen(intruder) so huzalishwa pale specific antigen anapokuepo(mwili unapogundu) mwilini,mfano HIV(Antigen),antibodies agaist HIV zitategenezwa pale mwili utakapogundua kuwa yupo,maradhi hutokea pale hizo kinga mwili zinapozidiwa na hao intruders(antigen).Kwa baadhi ya maelezo ya wadau hapa antibodies ni kingamwili, hii ina maana antibodies ni walinzi wa miili yetu dhidi ya mashambulizi ya uambukizo wa magonjwa mbalimbali.
Hao walinzi wakiwa imara/wapo active yaani positive, maana yake ulinzi wa mwili ni imara.
Swali inakujaje mtu mwenye ulinzi imara yaani antibodies positive akawa tena muathirika eti HIV POSITIVE? Wakati ulinzi au kinga ya mwili wake ni imara?
Kuna nini nyuma ya pazia hili la HIV na PHAMACEUTICAL INDUSTRIES?
Au za kuambiwa tuchanganye na zetu?
Antibodies ziko specific kwa antigen(intruder) so huzalishwa pale specific antigen anapokuepo(mwili unapogundu) mwilini,mfano HIV(Antigen),antibodies agaist HIV zitategenezwa pale mwili utakapogundua kuwa yupo,maradhi hutokea pale hizo kinga mwili zinapozidiwa na hao intruders(antigen).
Nimetumia lugha rahisi sana
Andika huo ukweli basi ambao ni elimu ya mashariki I don't know kusiniwe ni muongo sana!muache elimu zenu za kimagharibi kukaririshwa hovyo bila hats kujiongeza!
je unajua kuwa H.I.V alikuwepo toka miaka ya 1930s?sasa kwanini babu zetu hawakuteseka na hili gonjwa?
unajua ni kwanini nchi zilizo chini ya jangwa LA sahara zina maambukizi makubwa ya H.I.V ukilingsnisha na nchi za ulaya?
Nyinyi huko muna raha munapima bure hayo magonjwa mimi huku Ughaibuni kupima ni kwa Pesa Dollar 500$ sawa na shilingi Milioni 1 na laki 1 mara ya mwisho nimepima mwaka 2011 na nikawa nipo HIV Negative Hepatitit B Virus, TB, Cancer, Tezi dume vyote hivyo vipo poa nitakwenda tena kupima baada ya kumalizika mwezi wa Ramadhani mwezi wa 7 mwaka huu. Laiti ningekuwa niko bongo ningekuwa ninapima kila baada ya miezi 6.Habari za mida w
Leo katika pitapita zangu huku kijijini nikakuta mahali AMREF wameweka mahema yao wanatoa huduma za kupima magonjwa kama HIV, TB, Cancer, tezi dume, n.k bure.
Kwa kuwa nlikiwa napanga several times kwenda mjini kupima ngoma nikaona bora nimalizie shida yangu ya kupima pale.
Sasa baada ya kutolewa damu nikaambiwa nisubiri nje kama dk. 5 then nitakuta majibu yako tayari.
Wakati nipo pale nje akatokea kijana mmoja mle ndani tayari amepima na kapewa kadi yake tayari na nikaona nyuma imeandikwa HIV neg na ameandikiwa tar ya kurud kupima tena. Nikamuuliza aliingia ndani pale muda gani akaniambia asa hivi tu na aliniona natoka mimi ndo akaingia.
Baada ya dakika 6 nikaenda tena ndani kwenye hema kufata majibu lakini hapo nishaanza kuwa na wasiwasi nikaanza kujiuliza kwa nini mimi nimeambiwa nisubiri dakika 5 wakati huyu bwa mdogo hakuchukua hata dk 3 katoka na majibu???
Nilipofika ndani yule mama mpimaji akaniambia majibu yangu ni mazuri sina maambukizi ya UKIMWI. Akanipa hii kadiView attachment 500744View attachment 500745View attachment 500745
Baada ya kuona hii kadi moyo wangu uliripuka kidogo. Kila nikipima sijawahi kuandikiwa hivi "Non Reactive" sasa iweje leo?? Nikatoka nikiwa na maswali mengi na nikiamini kuna kitu cha ziada hapa. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka labda huyu mama ananificha kitu ni hizi:
1. Kitendo cha kunisubirisha mimi nje muda mrefu wakat kuna mwingine amewahishwa (nahisi alikuwa anapanga anitoke vipi)
2. Kitendo cha yule mama kutaka kuninyima ile kadi yenye majibu. Baada ya kuniambia sijaathirika nilinyoosha mkono kuchukua ile kadi akaniambia hata nisipoichukua ile kadi niende zangu tu home niendelee na ishu zangu akiniambia eti ile kadi anapewa aliyeathirika ili aendelee kupima TB. Nikamwambia nataka nipime na TB maana huwa nina tendency ya kubanja sana sana nikiamka usingizini akajaribu kunidiscourage lakini nikakaza hadi akanipa ndo nikaondoka zangu.
Wakuu naombeni mniondolee utata hapa. Neno HIV Non Reactive lina maana gani katika HIV testing??
Mbarikiwe zana
Mkuu upo kijiji gani wewe? kama upo karibu na kijiji cha kondoa irangi mjini dodoma nifahamishe hao wanaopima watakuwepo mpaka lini? kwani nina mteja wangu ana HIV Positive yupo huko kijijini kondoa ninataka akapime kwani nina mtibia sasa mwezi ni 3 na anaendelea vizuri kiafya. Sasa sijuwi hao wapimaji wa AMREF watapita huko kijijini kondoa irangi? Au hawapo sehemu hizo?Habari za mida wadau,
Leo katika pitapita zangu huku kijijini nikakuta mahali AMREF wameweka mahema yao wanatoa huduma za kupima magonjwa kama HIV, TB, Cancer, tezi dume, n.k bure.
Kwa kuwa nlikiwa napanga several times kwenda mjini kupima ngoma nikaona bora nimalizie shida yangu ya kupima pale.
Sasa baada ya kutolewa damu nikaambiwa nisubiri nje kama dk. 5 then nitakuta majibu yako tayari.
Wakati nipo pale nje akatokea kijana mmoja mle ndani tayari amepima na kapewa kadi yake tayari na nikaona nyuma imeandikwa HIV neg na ameandikiwa tar ya kurud kupima tena. Nikamuuliza aliingia ndani pale muda gani akaniambia asa hivi tu na aliniona natoka mimi ndo akaingia.
Baada ya dakika 6 nikaenda tena ndani kwenye hema kufata majibu lakini hapo nishaanza kuwa na wasiwasi nikaanza kujiuliza kwa nini mimi nimeambiwa nisubiri dakika 5 wakati huyu bwa mdogo hakuchukua hata dk 3 katoka na majibu???
Nilipofika ndani yule mama mpimaji akaniambia majibu yangu ni mazuri sina maambukizi ya UKIMWI. Akanipa hii kadiView attachment 500744View attachment 500745View attachment 500745
Baada ya kuona hii kadi moyo wangu uliripuka kidogo. Kila nikipima sijawahi kuandikiwa hivi "Non Reactive" sasa iweje leo?? Nikatoka nikiwa na maswali mengi na nikiamini kuna kitu cha ziada hapa. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka labda huyu mama ananificha kitu ni hizi:
1. Kitendo cha kunisubirisha mimi nje muda mrefu wakat kuna mwingine amewahishwa (nahisi alikuwa anapanga anitoke vipi)
2. Kitendo cha yule mama kutaka kuninyima ile kadi yenye majibu. Baada ya kuniambia sijaathirika nilinyoosha mkono kuchukua ile kadi akaniambia hata nisipoichukua ile kadi niende zangu tu home niendelee na ishu zangu akiniambia eti ile kadi anapewa aliyeathirika ili aendelee kupima TB. Nikamwambia nataka nipime na TB maana huwa nina tendency ya kubanja sana sana nikiamka usingizini akajaribu kunidiscourage lakini nikakaza hadi akanipa ndo nikaondoka zangu.
Wakuu naombeni mniondolee utata hapa. Neno HIV Non Reactive lina maana gani katika HIV testing??
Mbarikiwe zana
Maswala ya window period nayajua mkuu. Shida yangu sio kujua hayo. Nlitaka kujuankma Nn Reactive = Negative bhaaasiiii. Haijalishi ni negative au non reactive suala la window period liko pale pale kama umepata maambukizi ya karibuni. Otherwise asante kwa mchanganuo wako kiongoziHIV Non Reactive kwa Maelezo haya nitakayotoa naomba uwe mpole na uyaelewe utaratibu na vizuri.
Tanzania kuhusu upimaji wa HIV huwa tunapima kitu kinaitwa Antibodies za HIV.Antibodies hizi huzalishwa taratibu sana Mara tu MTU anapopata maambukizi ya HIV.
Sasa Katika kipimo chetu cha HIV kama umeshazalisha antibodies za HIV then ukichukua damu ya mgonjwa ukaipima ita React na tunasema ime React Positive kwahiyo majibu huwa ni Reactive.
Sasa unaweza kuwa umepata HIV lakini mwili bado haujatengeneza antibodies za HIV yaani iko ktk kipindi cha Window Period..Hapa ukipima damu ya mgonjwa majibu yatakuwa Non Reactive lakini HIV unayo mpaka hapo utakapo tengeneza antibodies za HIV
Kwa wale ambao antibodies za HIV zimeshatengenezwa huyu akipimwa tu damu yake it's react na majibu yatakuwa Reactive.
Boss nashani umeshauri jambo usilokuwa na elimu nalo kulitaalamu. Naoa unatumia unayoyawaza wewe. Pole ya nini? Mi nia HIV?? Non reactive means Negative. Mtumie hata gpogle akusaidie sio kupanikisha watuPole Mkuu, hapo ni suala la elimu ya upimaji tu. Non reactive maana yake, Probably huna Virusi vya UKIMWI. PROBABLY. Ili kuwa na uhakika zaid pima tena baada ya miezi mitatu(angalizo: usipige tena kavu ndani ya hiyo miezi).
Changu huwa kinasoma kwenye C. Namshukuru Mungu kwa hilo.
Maaaaaaaaaaaana................
Anachosema ni kwamba kipimo kimoja cha HIV hakiwezi kuwa conclusive.Boss nashani umeshauri jambo usilokuwa na elimu nalo kulitaalamu. Naoa unatumia unayoyawaza wewe. Pole ya nini? Mi nia HIV?? Non reactive means Negative. Mtumie hata gpogle akusaidie sio kupanikisha watu