Vijisenti JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 544 Reaction score 330 Dec 16, 2022 #1 Naomba kujuzwa wakuu imeanza +2550800 71.....
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,638 Dec 16, 2022 #2 Shirika au taasisi ya kiserikali, mfano NHIF na Dawasco wana namba kama hizo
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,313 Reaction score 7,961 Dec 16, 2022 #3 Pokea uone wanasemaje, au unaogopa zile stori za miaka Ile kuwa Kuna namba zamajini na ulipokea unakufa?
Pokea uone wanasemaje, au unaogopa zile stori za miaka Ile kuwa Kuna namba zamajini na ulipokea unakufa?