Hahahah matani ya ngumi haya.Mimba imeingia kwa uwezo wa Roho Mtakatifu
Mungu akutie nguvu. Maana ..!!!
Hata hivyo pengine wakati anachoma tayari alikua nimjamzito kama hadi mtoto alishaanza kucheza.
HELLO WA MMU
Jamani nina shida inanisumbua kichwa mpka na usingizi nimekosa...iko hivi wife wangu alijifungua 28/06/2016...baada ya mwezi mmoja na ka wiki mbili 15/08/2016 akchoma sindano ya kuzuia mimba...kuanzia hapo nikawa nagegeda kama kawaida.
sindano hii hufanya kazi kwa miezi mitatu kwa hiyo ingeisha matumizi 15/11/2016.kipindi chote hicho amekuwa akiona hedhi yake kama kawaida kila ifikapo...kila mwezi..mara ya mwisho nimesex naye 28/10/2016 niliondoka na kwenda masomoni na mwezi wa 11 ameona siku zake kama kawaida...
kinachonichanganya ni kwamba mwezi huu wa 12 hajaona siku zake...Jana kapima mwenyewe kajikuta ana mimba..na sasa hv anahisi kama mtoto anacheza..tarehe 15/11/2016 alichoma sindano nyingine ya kuzuia mimba....
wadau naombeni mnisaidie hapa ushauri....hii mimba imeingiaingiaje wakati mara zote hizo bleed ameona??na mara ya mwisho kulala naye bleed kaona...sasa baada ya mwezi ndo ananiambia ana mimba?
Naomba kujua je unaweza kuwa na mimba na hedhi ikatoka kama kawaida?mtoto tuliyeko naye ana miezi mitano
Hakuna viungo vya mtoto vilivyotoka hapo, ile sindano ya depo provera ni manufactured hormones sawa na zile zinazozalishwa na miili yetu. Hakuna madhara yoyote kwenye embryogenesis.Mungu amsaidie ajifungue mtoto akiwa mwenye afya na timilifu maana kama alichoma sindano na kuna kitu tumboni lazima period aliyokua anapata ni ya baadhi ya viungo vya mtoto ni mawazo yangu lakini hayo......
Washauri wa afya niliokutana nao wanasema si nzuri kwa afya hivyo vidonge au sindano zitumikazo kupanga uzazi.
Nakubaliana na wewe kuwa wakati anachoma hiyo sindano tayari alishakuwa mjamzito. Kwani kucheza kwa mtoto ni around wiki ya 22 ya ujauzito yaani miezi mitano. Walitafuta kinga wakati mimba imeshatunga.Hata hivyo pengine wakati anachoma tayari alikua nimjamzito kama hadi mtoto alishaanza kucheza.
Hahahahaha umenichekesha sn mkuuMungu akutie nguvu. Maana ..!!!