Msaada:HGE anaweza kusomea vitu gani chuoni na kazi zipi anaweza akazifanya?

Dogo soma combination yeyote unayohisi unaimudu. Kumbuka kuna kuzungusha kama utataka kusoma comb kwa kutaka sifa.

Chuo unaingia course yeyote except za Afya tu.
kumbe hata engineering anaenda!!duuuh, BRAVO arts wooote
 
Back
Top Bottom