Ok jieleze vizuri sasasija wajaribu mkuu ninamna tuu ya kukosea kiuandishi
Bando kawekaje kama amekosa buku ya kilo ya unga?Watu watakunyima mboga ila sio Ugali, anzia mahali unapoishi.
Labda kama unataka hela.
Umekosa hela ya unga lakini umepata ya bando na kuingia jf kuomba msaada? Mh kila la heri mkuu.Wapendwa salaam alyk, tumsifu Yesu Kristo wana JF,
Kuanzia jana siko vizuri nimehangaika nimekosa nimetafuta bado sijapata wapendwa ninashida ya kusaidiwa hela ya unga tuu.
Please nisaidieni wana JF mwenzenu nakufa njaa.
Umekosa hela ya unga lakini umepata ya bando na kuingia jf kuomba msaada? Mh kila la heri mkuu.
Kama uko dar nitanunua unga kama unga sio hela.nitakuelekeza pa kuuchukua ubungo river side dar. Pole aisee.Hahaha,uko wapi mkuu tuje kutoa rescue..!
Sina mkuu, ndio maana nmeishia kutafta sababu!! teh teh tehndio maana jf iko pia free basic!
mchangie mwenzio
Umekosa hela ya unga lakini umepata ya bando na kuingia jf kuomba msaada? Mh kila la heri mkuu.[/UOTE]anaweza kuwa anatumia free basic jf nibure binafsi nikiishiwa bado huwa natumia
ndio maana jf iko pia free basic!
mchangie mwenzio
Haya ni majibu mepesi kwa maswali magumuAnaweza kuwa hana bando anatimia basic