kalimanzilajuma JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 323 Reaction score 314 Jan 31, 2018 Thread starter #2
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,538 Reaction score 18,754 Jan 31, 2018 #3 Hakuna madini hapo, hayo ni mawe.
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,822 Jan 31, 2018 #4 mawe ya kawaida hayo mkuu
kalimanzilajuma JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 323 Reaction score 314 Jan 31, 2018 Thread starter #5 Jamani hili jiwe kweli,maana linavutana kama smaku
colin_morgan JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 2,438 Reaction score 2,929 Jan 31, 2018 #6 [emoji23][emoji23]Kweli vyuma vimekaza kama hayo unadhani ni madini mkuu
kalimanzilajuma JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 323 Reaction score 314 Jan 31, 2018 Thread starter #7 Vimekaza balaa,,na tahadhari imekuwa kubwa sana.usije ukachezea sh kwenye tundu LA chooo.
kasulamkombe JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 2,232 Reaction score 2,493 Jan 31, 2018 #8 mawe ya kusugulia miguu
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,603 Reaction score 3,666 Jan 31, 2018 #9 Ni madini ya PROTINI hayo..!
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,255 Reaction score 61,195 Jan 31, 2018 #10 Kalimanzira wee Hiyo ni chumvi
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,855 Reaction score 61,913 Jan 31, 2018 #11 dah, ayo ni mawe ya kawaida mkuu vyuma viko tight hatari
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,262 Reaction score 6,826 Jan 31, 2018 #12 mbona ni mawe ya magadi hayo
No Escape JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 6,662 Reaction score 7,834 Jan 31, 2018 #13 yanaitwa stone.
mwasengo Senior Member Joined Nov 27, 2017 Posts 193 Reaction score 296 Jan 31, 2018 #14 Ni madini hayo, yanaitwa Masulupwete, yana hela balaa.
MUSHEKY JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 2,812 Reaction score 2,768 Jan 31, 2018 #15 hapa bongo utauziwa mawe madini yapo mererani
Mwinyi_ole_mushi JF-Expert Member Joined Oct 29, 2015 Posts 1,636 Reaction score 4,421 Feb 2, 2018 #16 MADINI FC
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,805 Reaction score 3,346 Feb 2, 2018 #17 Njoo Mbeya yapo mengi tu
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,509 Reaction score 138,408 Feb 2, 2018 #18 Picha ya kwanza yanaonekana kama madini Aina chrysoprase yanapatikana dodoma sehemu za anetti ktk milima ya yobwe.... Picha ya pili hayo ni miamba tu inayopatikana kwenye maeneo yenye madini Ova
Picha ya kwanza yanaonekana kama madini Aina chrysoprase yanapatikana dodoma sehemu za anetti ktk milima ya yobwe.... Picha ya pili hayo ni miamba tu inayopatikana kwenye maeneo yenye madini Ova
varangati JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,726 Reaction score 1,628 Feb 2, 2018 #19 Mh........umeyatoa wapi..?? Yakupigia ndege hayo hayana mchongo japo sijayashika mkononi
asap kajanja Senior Member Joined Mar 19, 2016 Posts 155 Reaction score 205 Feb 2, 2018 #20 kalimanzilajuma said: Click to expand... Saga tu ukauze kama chumvi make vyuma vimekaza unaokota mpaka mawe unajua ni dili[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kalimanzilajuma said: Click to expand... Saga tu ukauze kama chumvi make vyuma vimekaza unaokota mpaka mawe unajua ni dili[emoji23] [emoji23] [emoji23]